Kiswahili

hariri

Kitenzi

hariri

fadhaika (embarrassed)

  1. kuingiwa na wasiwasi, kukosa utulivu au kuwa na hisia za kutokuelewa na hali fulani isiyo na utulivu. Mara nyingi linaweza kutumika kuelezea hali ya kihisia ambayo mtu anajisikia huzuni, wasiwasi au kutatizika kutokana na jambo fulani

Tafsiri

hariri