Kiswahili

hariri

Kitenzi

hariri
  1. dhikir.i1* kt [sie] 1 (Waislamu) kutaja jina la Mungu.
  2. kucheza kwa kusifu utukufu wa Mungu. (tde) dhikiria; (tdk) dhikirika; (tds) dhikirisha. (Kar.)
  Ingizo hili ni sehemu ya mradi wa Kuboresha Wikipedia na Wikamusi ya Kiswahili. Unaweza kusaidia kuihariri na kuongeza maana.