demani
Kiswahili
haririNomino
hariridemani (demani)
- Sehemu ambayo imekingwa na mlima kutokana na upepo unaovuma kutoka upande wa pili wa mlima na aghalabu hupata mvua chache Mfano. mji wa Nanyuki uko demani mwa Mlima Kenya
Tafsiri
hariri- Kiingereza : Leeward side (en)