dabiri
Kiswahili
hariri- dabir.i kt [ele] 1 vuta taswira.
- chunguza, uchunguzi, chungua, fuatilia kwa undani.
- telekeza; toroka. (tde) dabiria, (tden) dabiriana, (tdew) dabiriwa; (tdk) dabirika; (tds) dabirisha.
Ingizo hili ni sehemu ya mradi wa Kuboresha Wikipedia na Wikamusi ya Kiswahili. Unaweza kusaidia kuihariri na kuongeza maana. |