KiswahiliEdit

NominoEdit

chupa (wingi chupa)

  1. chombo kilichotengenezwa kama vile kwa kioo au sandarusi cha kutilia vitu hasa vya majimaji na mafuta.mfano chupa ya soda
 
Empty Wine bottle

TafsiriEdit