chuo kikuu

Kiswahili

hariri
 
chuo kikuu(Illinois)

Nomino

hariri

chuo kikuu (wingi viuo vikuu)

  1. ni taasisi ya elimu ya juu inayotoa digrii mbalimbali na kozi za kitaaluma katika fani tofauti.

Tafsiri

hariri