chalcofili
Kiswahili
haririNOMINO
haririchalcofili
- chalcofili;kipengele au kiwanja kinachopendelea kuungana na sulfuri badala ya oksijeni katika mazingira ya kijiolojia.
ni neno linaloelezea madini ya kikemikaliambazo zinapenda kuunganika na elementi cha shaba au chuma
hariri- Kiingereza : CHALCOPHILE (en)