Kiswahili

hariri

Nomino

hariri

chaga (jamii ya nomino, ngeli ya i/zi)

  1. Ni neno la kutaja mbao zilizojengwa mahususi kwa ajili ya kitanda. Aghalabu hukaa chini ya kitanda kisha godoro huja juu yake.

Matumizi

hariri
  • Chaga za kitanda chako zimevunjika'
  Ingizo hili ni sehemu ya mradi wa Kuboresha Wikipedia na Wikamusi ya Kiswahili. Unaweza kusaidia kuihariri na kuongeza maana.