Kiswahili

hariri

Kielezi

hariri

bam·ba (nomino)

  1. Kitu bapa, mara nyingi la mviringo, ambalo linatumika kwa kusukumia maji au kusukumia kitu kingine.
  2. Bati jembamba linalotumika kuzuia matope yasichafue baiskeli au gari; bango
  3. Fanya ngono au kubashia mtu bila hiyari yake

Mifano

hariri
  1. Nimeweka bamba bora kabisa ili tope zisifinikie.
  2. Amenibambia huyu mshenzi lazima nimkomeshe.