Atamia ni kitenzi. Ni elekezi. Maana yake ni kalia au lalia mayai kama afanyavyo kuku au ndege ili kuyapa joto mpaka watotoe.

Kisawe chake ni lalia.