amulia
Kiswahili
haririKutoka neno
haririKigezo:-etym- Kutoka Kiarabu Kigezo:ARchar ("kufanya kazi, kufanya bidii").
Kitenzi
hariria·mu·li·a (neno la vitendo)
- Kuamulia ni hatua ya kusuluhisha ugomvi baina ya watu wawili.
- Mfano:* Aliamualia ugomvi kati ya ndugu wawili.
- Kutoa uamuzi thabiti juu ya kitu fulani.
- Mfano:* Nimekuamuilia leo lazima nikuonyeshe ubingwa wangu.
Ingizo hili ni sehemu ya mradi wa Kuboresha Wikipedia na Wikamusi ya Kiswahili. Unaweza kusaidia kuihariri na kuongeza maana. |