Kiswahili hariri

Nomino hariri

amali

  1. mazoea
  2. namna ya sihiri
  3. pia: Hirizi, azima, dawa, kago, pagao, talasimu

Amali - ni Maneno ya lugha fulani ambayo hayatumiki, lakini ni maneno rasmi ya lugha hiyo. Mfano Amali za Lugha ya Kiswahili ni kama neno Nduli ambalo lilitumika zaidi wakati wa Vita ya Kagera, lakini sasa halitumiki na kizazi cha sasa kama ilivyokuwa wakati huo.