Kiswahili hariri

kiunganishi hariri

alhasili

  1. kutumika katika mazungumzo kuonyeshajumla ya vitu au mambo mengi kwa pamoja
  2. kama vile
  3. kwa muhtasari; kwa maneno machache