alasauti
Kiswahili
haririnomino
haririalasauti (sarufi) sehemu ya kutolea sauti za lugha iliyomo ndani ya kinywa cha binadamu kama vile ulimi, ufizi, kaakaa na kadhalika;
- alasauti songezi- alasauti ambazo zina uwezo wa kujongea wakati wa utamkaji wa sauti za lugha kama vile ulimi na midomo
- alasauti tuli- alasauti ambazo hazina uwezo wa kujongea wakati wa utamkaji wa sauti za lugha kama vile ufizi na kaakaa