ajua mchezo kama bao wa watu wawili unaochezwa kwenye kigogo kilichochimbuliwa vishimo katika safu mbili, ambavyo huingizwa gololi wakati wa kucheza