Kiswahili

hariri

nomino(A-WA)

hariri

afriti

  1. jini mbaya anayedhuru watu
  2. mtu anayedanganya watu ili kuwaingiza katika uovu
  3. mtu mjanja