Kiswahili hariri

Kitenzi hariri

afiki

  1. kubali fikra au hoja fulani
  2. kubaliana na;patana na; lingana na
  3. kuwa sawasawa

visawe hariri

  • kubali
  • faa
  • pendeza

Tafsiri hariri