adibu
Kiswahili
haririKitenzi (kt <ele>)
haririadibu (adibu)
- elimisha mtu tabia njema; tia mtu adabu
- adibu kv -enye adabu, -enye tabia nzuri, -wa na adabu /Kar/
Tafsiri
hariri- Kiingereza : discipline (en)
Ingizo hili ni sehemu ya mradi wa Kuboresha Wikipedia na Wikamusi ya Kiswahili. Unaweza kusaidia kuihariri na kuongeza maana. |