Kiswahili

hariri

Nomino

hariri

adhuhuri

  1. wakati kutoka saa sita ya mchana hadi saa nane ya mchana.
  2. sala mojawapo isaliwayo na waisilamu wakati wa mchana.