Kiswahili

hariri
 
Muonekano wa Wimbi la joto kwa kamera za juu

Nomino

hariri

Wimbi la joto (wimbi la joto)

  1. Vipindi virefu vya joto visivyo vya kawaida na aghalabu wakati mwingine huweza kuandamana na unyevu na hutokea kila mwaka na hudhuru watu.

Tafsiri

hariri