Ufugaji wa samaki
Kiswahili
haririNomino
haririUfugaji wa samaki
- shughuli za uzalishaji wa wanyama au mimea katika mazingira ya majini. Ufugaji wa samaki unafanywa katika mito au madimbwi, kando ya bahari.
Tafsiri
hariri- Kifaransa: aquaculture (fr)
- Kiingereza : aquaculture (en)