Kiswahili hariri

 
Muonekano wa safu za mawingu

Nomino hariri

Safu za mawingu (Mawingu)

  1. safu ambazo huwa katikati ya mawingu aina ya mavundemavunde aghalabu huonekana vizuri zaidi kwenye picha za setilaiti kuliko jinsi zinavyoonekana kwa kuzitazama tu kutoka ardhini.

Tafsiri hariri