Ongezeko la Joto Duniani
Kiswahili
haririNomino
haririOngezeko la Joto Duniani
- Kuongezeka kwa wastani wa joto la dunia kutokana na uzalishaji wa gesi za chafu, hususani dioksidi ya kaboni.
Tafsiri
hariri- Kiingereza : global warming (en)
Ongezeko la Joto Duniani