Nguchiro (Kiing. mongoose) ni wanyama wadogo kiasi wa familia Herpestidae. Kuna spishi nne huko Madagaska ziitwazo nguchiro pia (nguchiro-bukini) na ambazo ziliainishwa katika Herpestidae, lakini malinganisho ya ADN yameonyesha kwamba spishi hizi zina mnasaba zaidi na spishi za Eupleridae.

ina makala kuhusu: