ndege

(Elekezwa kutoka Ndege)

Kiswahili

hariri

NOMINO

hariri
 
ndege mnyama
 
ndege chombo

Nomino

hariri

ndege (bird)

  1. aina ya mnyama ambaye anaweza kupaa; ana mikia na mabawa
  2. chombo cha kusafiri hewani kinachoongozwa na Rubani kinachobeba abiria na mizigo kwa umbali mrefu
  3. Usafiri hewani na ndege za makampuni mbali mbali

Tafsiri

hariri