Nadharia ya Kuvunjika kwa Ustaarabu
Kiswahili
haririNOMINO
haririNadharia ya Kuvunjika kwa Ustaarabu
- Utafiti unaojikita katika uwezekano wa kuvunjika kwa ustaarabu wa binadamu kutokana na sababu mbalimbali kama vile, mabadiliko ya tabianchi.
Tafsiri
hariri- Kiingereza : collapsology (en)