Mvua ya Asidi
Kiswahili
haririNomino
haririMvua ya Asidi (mvua za asidi)
- mvua ambayo huwa imechanganyika na kemikali zenye asidi zilizoko kwenye anga hewa na kufanya maji yake kudhuru mimea na viumbe wa tumiao maji hayo.
- Mvua yenye asidi isiyo ya kawaida (pH ya chini ya safu asilia ya 5 hadi 6); husababishwa hasa na uchafuzi wa angahewa na dioksidi sulfuri, dioksidi kaboni na misombo ya nitrojeni.