Mkusanyiko wa matone madogomadogo ya maji yanayounda kitu kama mawingu lakini huwa angani au karibu sana na ardhi na huzuia mtu kuona mbali lakini si kama ukungu.