Majadiliano:eye
Latest comment: miaka 16 iliyopita by Muddyb Blast Producer
Dada Rose, salam. Eye sio Kiswahili. Ni Kiingereza! Mwanzo lazima utoe maana halisi ya neno husika, halafu unaweka maelezo kama "TAFSIRI" kwa mifano tofauti! Sijui hapo wewe unaonaje?--Muddyb Blast Producer (majadiliano) 08:57, 5 Septemba 2008 (UTC)