Mafuta ya Kisukuku

Kiswahili

hariri

NOMINO

hariri

Mafuta ya Kisukuku

  1. Nishati inayotokana na mabaki ya viumbe vya kale, kama vile makaa ya mawe, mafuta ya petroli, na gesi asilia inayochangia kwa kiasi kikubwa uzalishaji wa gesi za chafu.

Tafsiri

hariri