msafiri ni aliye pwani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Ni methali yenye maana kuwa apendaye kusafiri ni lazima awe pale anapoweza kuabiri chombo sio awe mbali na hicho chombo kikamwacha. Matumizi yake ni kukumbusha...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 12:39, 1 Aprili 2016

Ni methali yenye maana kuwa apendaye kusafiri ni lazima awe pale anapoweza kuabiri chombo sio awe mbali na hicho chombo kikamwacha.

Matumizi yake ni kukumbusha umuhimu wa kufanya mambo kwa wakati wake ufaao pasipo kungoja hadi kuchelewa.

Ina matumizi sawa na chelewachelewa utamkuta mwana si wako.