tamu ikizidi tamu huwa si tamu tena : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Msemo 'tamu ikizidi tamu huwa si tamu tena' ni methali yenye maana kuwa utamu wa kitu au jambo unapopita mipaka huwa hauna raha tena. Hutumiwa kufunza kuwa kil...'
 
(Hakuna tofauti)

Toleo la sasa la 11:28, 1 Aprili 2016

Msemo 'tamu ikizidi tamu huwa si tamu tena' ni methali yenye maana kuwa utamu wa kitu au jambo unapopita mipaka huwa hauna raha tena.

Hutumiwa kufunza kuwa kila jambo hata liwe zuri kiasi gani sharti liwe na kipimo kifaacho.