Kiswahili

hariri
 
Athari ya kivuli ca mvua

Nomino

hariri
  1. Eneo la mvua iliyopungua kwenye upande wa milima.
  2. Ni sehemu ya ardhi ambayo imelazimishwa kuwa jangwa kwa sababu safu za milima zilizuia hali ya hewa ya mvua inayokuza mimea na mvua.

Tafsiri

hariri