Kituo cha polisi

Kiswahili

hariri

Nomino

hariri

Kituo cha polisi (wingi vituo vya polisi)

  1. Mahali ambapo polisi wanapatikana wakifanya kazi zao za kulinda usalama raia na mali zao.
    Mfano: Alikwenda kituo cha polisi kuripoti wizi wa gari lake.

Tafsiri

hariri