Kabobo
Kiswahili
haririNomino
hariri{{||sw|Nomino|Wingi|vibobo}}
- Ni mawimbi makubwa ya baharini yanayo haribifu vitu aghalabu hali hii hutokana na volikano au mtetemeko wa ardhi wa majini. Huwahaina uhusiano wowote na kupwa au kujaa kwa maji baharini.
Tafsiri
hariri- Kiingereza Tidal wave (en)