Israel
Kiingereza
haririNomino
haririIsrael
- Nchi katika Mashariki ya Kati yenye eneo la takribani kilometa za mraba 20,770. Ipo kwenye mwambao wa Bahari ya Mediterranea.
Idadi ya Watu
haririInakadiriwa kuwa Israel ina idadi ya watu takribani milioni 9.