Hifadhi ya kaboni
Kiswahili
haririNomino
haririhifadhi ya kaboni ni kiasi cha kaboni ambayo imechukuliwa kutoka anga na sasa imehifadhiwa ndani ya mazingira ya misitu, hasa ndani ya majani hai na udongo, na kwa kiasi kidogo pia katika kuni zilizokufa na takataka.
Tafsiri
hariri- Kiingereza : Carbon Stock (en)