Hewa shwari
Kiswahili
haririKitenzi
haririHewa shwari (hewa shwari)
- Hewa shwari, hewa ambayo ni baridi kuliko mazingira yake haiwezi kwenda angani na haisababishi mawingu kwenda juu na haitengenezi mvua huwa wakati wa shwari.
Tafsiri
hariri- Kiingereza Stable air (en)