Hali mbaya ya hewa

Kiswahili

hariri
 
Hali mbaya ya hewa

Nomino

hariri

Hali mbaya ya hewa (hali mbaya ya hewa)

  1. Ni hali yoyote ile ya hewa ambayo husababisha maangamizi kwa mfano, dhoruba,mvua ya mawe, mvua ya radi, na miale ya radi ambayo inatishia maisha ya viumbe k.v wanyama na binadamu.

Tafsiri

hariri