Divices
Kiingereza
haririNomino
hariridevices
- wingi wa device
- vifaa: Mashine au vipande vya vifaa vinavyotumiwa kutekeleza kazi fulani.
- Mfano: Kompyuta, simu za mkononi, na televisheni zote ni vifaa ambavyo vinatumiwa sana katika maisha ya kila siku.
- njia: Mbinu au mpango unaotumiwa kufanikisha jambo fulani.
- Mfano: Waandishi hutumia njia tofauti za kuwasilisha ujumbe wao kwa wasomaji.
Etimolojia
haririKutoka Kiingereza devices.