Kiswahili

hariri

Nomino

hariri
  1. dhamira* nm [i-/zi-] nia ya kufanya kitu au jambo; Dhamira yangu ni kuboresha makala za Wikipedia ya Kiswahili.

Etimolojia

hariri

Neno dhamira linatokana na lugha ya Kiarabu.

Tafsiri

hariri