Biogesi
Kiswahili
haririKiswahili
haririNomino
haririBiogesi ( compost fertilizer)
- mbolea ya mboji ni inayozalishwa na bacteria wanapovunjavunja malighafi zinazooza kwa urahisi kama vile kinyesi cha ng’ombe na mifugo wengine, na mabaki ya jikoni, yanapowekwa kwenye sehemu isiyokuwa na hewa ya oksijeni. Nishati hii inaweza kutumika kwa kupikia pamoja na kuwasha taa majumbani.
- Biogesi, chanzo cha nishati na mbolea hai.Hii ni aina ya nishati inayosaidia kupunguza uharibifu wa mazingira na inazalisha mbolea ya mboji ambayo imethibitishwa kurutubisha udongo.
Tafsiri
hariri- Kiingereza :compost fertilizer ( en)