Kiswahili hariri

Kitenzi hariri

joto fiche (joto fiche)

  1. Joto fiche; joto ambalo huhifadhiwa au kutolewa na vitu aina ya majimaji, mango au gesi wakati vinapobadilika kutoka hali yake halisi hadi hali nyingine hasa kutokana na kuongezeka au kupun- gua kwa hali joto; kwa mfano, maji yanapobadilika na kuwa gesi.

Tafsiri hariri

  • Kiingereza