Kiswahili hariri

 
Ukame/ukavu

Nomino hariri

Ukame (ukame/ukavu)

  1. hali ambayo mvua hupungua kwa muda mrefu hivyo kuifanya ardhi ikauke. Hali hii husababisha upungufu wa maji na chakula

Tafsiri hariri