Mgogoro wa hali ya hewa

Kiswahili hariri

 
siku ya ku piganisha mgogoro wa hali ya hewa

Nomino hariri

Mgogoro wa hali ya hewa

  1. Mgogoro wa hali ya hewa ni neno linaloelezea ongezeko la joto duniani na mabadiliko ya hali ya hewa, na athari zake.

Neno hili limetumika kuelezea tishio la ongezeko la joto duniani, na kuhimiza upunguzaji mkali wa mabadiliko ya tabianchi.

Tafsiri hariri

#EarthMonth #WikiForHumanRights #RightToahealthyEnvironment #WikiForHumanRightsAfrica #Earthday